.

JK AKUTANA ANA KOFFI ANNAN; ATEMBELEA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

Apr 1, 2011

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na katibu mkuu wa Zamani wa Umoja wa Taifa Koffi Annan ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro). 
Wakizungumza
=========================================


Rais Jakaya Kikwete akisalimia wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara alipowasili kwenye ofisi za wizara hiyo leo, Jengo la Water Front, Dar es Salaam.
Waziri Wa Viwanda na Biashara Dr.Cyril Chami akisoma taarifa ya utekelezaji ya Wizara wakati wa Ziara ya Kikazi ya Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo mchana.Kushoto ni katibu mkuu wa Wizara hiyo Bi.Joyce Mapunjo na kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Bwana Lazaro Nyalandu (Picha na Freddy Maro)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช