.

MABADILKO CCM; YUSSUF MAKAMBA, SEKRETARIETI, KAMATI KUU WAJIUZULU

Apr 10, 2011

Katibu Mkuu wa CCM Yussuf Makamba akizungumza kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma, Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama, Rais Jakaya Kikwete na kulia ni Mjumbe wa Kamati Kuu, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.
===================
Habari zilizopatikana kutoka Dodoma, zimesema Makamba na Sekretarieti yake yote na Kamati Kuu ya CCM wamejiuzulu na kwamba  nafasi zao zinatarajiwa kujazwa leo. Je? ni nani ataukwaa Ukatibu Mkuu wa CCM?

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช