KATIBU Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) Amir Mhando (kushoto), akitangaza wanamichezo watakaochuana kuwania tuzo ya mwanamichezo bora 2010, LEO katika ukumbi wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) mjini Dar es Salaam,. Kulia ni Mhazini wa chama hicho Sultani Sikilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269