.

JUMUIA YA WAFANYAKAZI ZANZIBAR YAKUTANA NA DK. SHEIN

Apr 27, 2011

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyakazi Zanzibar,(ZATUC),Bwana Khamis Mwinyi Mohamed,pamoja na ujumbe wake na   Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, ukiongozwa na Waziri Mhe,Haroun Ali Suleiman, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar, kwa mazungunzo na Rais, LEO. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu).

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช