Rais Dkt.Jakaya Kikwete akiingia katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini Unguja kuognoza sherehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea heshima na kupigiwa mizinda 21 mara tu alipowasili katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini unguja kuongoza hsrehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo asubuhi
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na amiri jeshi mkuu akikagua gwaride lilioandaliwa na jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ katika uwanja wa michezo wa Amaan wakati wa shrehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Michezo wa Amaani mjini Unguja kuongoza sherehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Salmin Amour baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini unguja kuongoza sherehe za muungano wa Tanzania na Zanzibar.Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia mke wa muasisi wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar Mama Fatma Karume baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini unguja kuongoza sherehe za muungano wa Tanzania na Zanzibar.(Picha zote na Freddy Maro)
Hivi ndivyo vilikuwa baadhi ya vikolombwezo kwenye maadhimisho hayo
Muungano ni jambo jema sana, lakini kuwe na maridhiano mema ya haki na usawa, inakuwa vyema hata kero ikitokea mnakaa mnarejea makubaliano yenu mnaboresha...!
ReplyDelete