.

FILAMU YA KANUMBA NA M-NIGERIA KUTOKA JULAI MWAKA HUU

Apr 26, 2011

Muigizaji wa filamu za Bongo, Steven Kanumba amesema filamu yake  aliyocheza na M-Nigeria Ramsey Nouah  ipo jikoni na inatarajiwa kupakuliwa kwenye sahani la mashabiki wa filamu hapa nchini na nje ya nchi hii, mwezi Julai mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa hotel ya Peacock, jijini Dar es Salaam, Kanumba alisema, Move hilo linalokwenda kwa jina la 'Devil Kingdom'  wamei-ekti hapa nchini na katika move hiyo Kanumba ataitwa  Ambrose Kapalale na M-Nigeria ni  Jerome Kongwa. PIchani, Kanumba akizungumza na leo kwenye hoteli hiyo. Kushoto ni M-Nigeria Ramsey.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª