.

KCB WATOA CHAKULA CHA MILIONI 2 MAAFA YA MABOMU GONGO LA MBOTO

Apr 6, 2011

KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadik akipokea msaada wa vyakula vyenye thamani ya sh. Milioni 2, kutoka kwa Mkurugenzi wa benki ya KCB, Joram Kiarie,  vilivyotolewa na  wafanyakazi wa benki hiyo  kuendelea kusaidia wathirika wa milipuko ya mabomu, Gongo la Mboto, Dar es Salaam, jana

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช