.

SEMINA YA TCRA MKURANGA

Apr 6, 2011

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani,  Henry Clemence akimkabidhi simu mkononi aina ya Nokia, Hassani Mohammed ambaye ana ulemavu wa ngozi, aliyefanikiwa kujibu swali katika semina ya watumiaji wa huduma za mawasiliano, jana, wilayani Kisarawe mkoa wa Pwani. Washiriki wengine watano walipata simu baada ya kujibu maswali mbalimbali katika semina hiyo iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa ajili ya kuelimisha wadau hao juu ya wajibu na haki zao katika huduma ya mawasiliano.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª