.

SIMBA YALALA 3-2 KWA TP MAZEMBE

Apr 3, 2011

Beki wa TP Mazembe Stopila Sunzu (kushoto) akipambana na mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi, timu hizo zilipomenyana leo kwenye Uwanja wa taifa, Dar es Salaam, Simba imefungwa mabao 3-2
Shabiki wa Simba akilalamika baada ya timu hiyo kufungwa

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช