.

VODA YAZALIWA UPYA; YABADILI LOGO NA RANGI YA KAMPUNI

Apr 3, 2011

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Dietiof Mare akizungumza wakati wa uzinduzi wa nembo na rangi ya kampuni hiyo leo kwenye ukumbi wa Ball Room, hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba (kushoto) akishangilia baada ya uzinduzi huo
Mwanamuziki Karola Kinasha akitumbuiza katika uzinduzii huo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช