.

KONGAMANO LA PILI KUHUSU KATIBA MPYA LAFANYIKA UDSM

Apr 2, 2011

WASHIRIKI wakiwa kwenye kongamano la pili kuhusu  katiba mpya, lililoandaliwa na  Jumuia ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), leo katika ukumbi wa Nkurumah.
Viongozi wa vyama vya Siasa wakiwemo Dk. Wilibrod Slaa na Freeman Mbowe kutoka CHADEMA, wakiwa mstari wa mbele kwenye kongamano hilo
Mwanaharakati wa masuala ya Siasa,  Azaveri Lweitama akitoa maoni yake
Profesa Baregu naye hakukosa. Hapa anatoa hoja zake
Mary Kashonta kutoka  Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania ( TAWLA), pia alikuwepo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª