.

DK SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCMT AIFA, ZANZIBAR LEO

Apr 2, 2011

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Dk Ali Mohamed  Shein,akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi,alipohudhuria katika mkutano wa  kikao cha Kamati Maalum ya  ya Halmashuri Kuu ya Taifa ya CCM, katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar jleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Dk Ali Mohamed  Shein,akisalimiana na wazee wa Chama cha Mapinduzi,alipohudhuria katika  kikao cha Kamati Maalum ya  ya Halmashuri Kuu ya Taifa yaCCM,katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Dk Ali Mohamed  Shein,akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya  ya Halmashuri Kuu ya Taifa yaCCM,katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar jana,(kushoto) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Mohamed Gharib Bilali na Naibu Katibu Mkuu waCCM Zanzibar Saleh Ramadhan Feruzi
Baadhi ya wajumbe wakipitia agenda za mkutano kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM,kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraa la Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk Ali Mohamed Shein, leo (Maelezo na picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu.)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª