.

JK AFUNGUA KITUO CHA UTAFITI NA MAFUNZO YA WAKULIMA DAKAWA

Apr 2, 2011

RAIS Jakaya Kikwete akikagua 'power tillers' na zana nyingine za mafunzo muda mfupi baada ya kufungua Kituo cha Utafiti na Mafunzo ya Wakulima eneo la Dakawa mkoani Morogoro, jana. Kituo hicho kimejengwa kwa msaaada wa Serikali ya watu wa China. Kushoto ni Waziri wa Kilimo na Chakula, Profesa Jumanne Maghembe.(Picha na Freddy Maro).
Rais Kikwete akikagua tango lililolimwa kisasa katika shamba la Dakawa

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช