Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya wanawake 'Twiga Stars' wakifanya mazoezi leo asubuhi kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam, ikiwa ni maandalizi ya timu hiyo kwa ajili ya michuano ya awali ya kusaka tiketi ya kucheza fainalio za kombe la mataifa ya Afrika.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269