.

MADAKTARI WA APOLLO WAKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR

Apr 16, 2011

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Dr Hari Prasad,na Meneja Mkuu Ustawi wa Biashara wa Kimataifa,Radhey Mohan,(kushoto).kutoka Mtandao wa Hospitali za Apolo nchini India,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo .

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช