.

SEMINA YA WADAU WA BIASHARA YA NGOZI ZA MIFUGO YAFANYIKA DAR

Apr 2, 2011

Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Cyril Chami akifungua semina ya wadau wa biashara ya ngozi za mifugo, leo kwenye jengo la Water Front, Dar es Salaam. Wapili ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Joyce Mapunjo.
Wadau wakiwa kwenye semina hiyo leo asubuhi

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช