.

SHEIKH YAHYA ATABIRI VIONGOZI KUTEKWA NYARA!!!!!!!!

Apr 10, 2011


Sheikh Yahya Hussein
             PRESS  RELEASE
VIONGOZI KUTEKWA NYARA
    UTABIRI WA MWEZI APRILI:
"Kuanzia tarehe 19 April na kuendelea hadi July, viongozi wa siasa na wafanya biashara maarufu wajichunge kutekwa nyara na kuibiwa, wao wenyewe na kufanywa kama bidhaa.
Viongozi hao wachukue tahadhari nyakati zao za kutembea na wanaposafiri kwani pana uwezekano wasirudi, utekaji nyara huo ni wa viongozi tuliowataja na wasijiamini wanaposafiri au wakiwa kwenye mikutano wasiwe peke yao na wawe na mipangilio ya tahadhari nyakati zote. Nyota pia zinalenga wake na masahiba ya viongozi hao mashuhuri".

Sheikh Yahya Hussein.
Mnajimu Mkuu Afrika Mashariki na Kati
P.O.B0X 21250 DAR ES SALAAM
TEL: +255 75 4672464   

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª