.

VIONGOZI WAPYA WA SEKTRETARIETI YA CCM WATUA DAR, MUKAMA ATANGAZA KULA SAHANI MOJA NA WAPINZANI, NNAUYE AWA KIVUTIO

Apr 17, 2011

Msafara ukipokewa  Chalinze na waendesha pikipiki
Katibu Mkuu wa CCM, Wiliam Mukama na Katibu wa NEC wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakimsalimia Diwani wa Kivaha mjini, Selina Wilson, msafara ulipopokelewa Chalinze
Wanachama wa CCM Chalinze wakishangilia katika mapokezi hayo
Nape Nnauye akimsaidia kupiga ngoma, Shabani Selemani Kombo wa Kikundi cha ngoma ya Silanga kutoka Kata ya Msata, kundi hilo kilipokuwa likitumbuiza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu mpya wa CCM, Wilson Mukama na Sekretarieti mpya ya CCM, jana Chalinze mkoa wa Pwani.
Mashabiki na wana-CCM wakishangilia mapokezi ya msafara wa viongozi hao ulipowasili Kibaha
Nape akizungumza yake ya moyoni alipotambulishwa  kwenye viwaja vya Ushirika, Kibaha
Naivbu Katibu Mkuu wa CCM-bara, John Chiligati akizungumza kwenye viwanja vya Bakhresa Mazese

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª