Breaking News

Your Ad Spot

May 5, 2011

GARI LA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA TASWA HILI HAPA

Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na waandishi wa habari wakitazama gari ambalo mwanamichezo bora atapewa kesho katika sherehe za utoaji tuzo walio mahiri katika fani  hiyo. Meneja Mawasiliano na Habari wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) inayodhamini tuzo hizo, Teddy Mapunda (wa nne kushoto) alikabidhi gari hilo leo kwa uongozi wa TASWA katika hafla iliyofanyika Hotel ya Movenpick, Dar es Salaam. Kwa Mujibu wa TASWA thamani ya gari hilo ni sh. milioni 13. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya tuzo hiyo, Masoud Sanani.

1 comment:

  1. Watanzania tuwe na aibu gari bovu kabisa na used na kikubwa ni chafu sh 13 milioni???????? aaah

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages