Breaking News

Your Ad Spot

May 19, 2011

NAPE ATEMBELEA UHURU FM, AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI

Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipokewa na wafanyakazi wa Uhuru FM, kwenye jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam leo 
Mkurugenzi wa Uhuru FM, Mikidadi Mahmoud (kushoto) akimpatia maelezo Nape. 
Nape akipata maelezo kutoka kwa Mkurigenzi wa Uhuru FM ndani ya studi. Kushoto ni Dj Soggy Doggy akiwajibika. 
Mtangazaji wa Uhuru FM, Fast Eddie akiwasha moto kwenye kipindi cha ukweli ndio huu ndani ya studi za uhuru FM 
Nape akiwasikiliza watangazaji wa Uhuru FM  Saidi Ambua (kulia) na  Fast Eddie  (Kaka Mkubwa), wakiwa kwenye kipindi cha 'Ukweli ndio huu' leo asubuhi. Kushoto ni Mkurigenzi wa radio hiyo, Mikidadi Mahmoud na wengie ni wafayakazi wa Uhuru FM na kulia kwa Nape ni Katibu Msaidizi wa kiongozi huyo, kaka Sixtus  
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa kwenye mkutano na Nape 
Wafanyakazi  wa Uhuru FM kwenye mkutano wa Nape 
Wafanyakazi wa uhuru FM wakiwa kwenye mkutano huo, Juu ni Mhariri Mkuu wa Uhuru FM Godfyer Chongoro na Furaha Luhende ofisa masoko wa radio hiyo 
Mhariri wa habariwa Uhuru FM  ambaye ni Mwenyekiti wa CCM tawi la la radio hiyo, Pius Ntiga (ushoto) akimkaribisha Nape kuzungumza na wafanyakazi
Waandishi wa Uhuru FM, Samira Kiango, Neema Mwangomo na Hidaya Mashaura wakiwa kwenye mkutano huo na Nape. 
Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM leo, mtaa wa Ukami na Kariakoo, Dar es Salaam. Kuliao ni Mahmoud na kushoto ni Mhasibu wa Uhuru FM John Shija, na Katibu Msaidizi wa Nape, Sixtus Mapunda 
 
Watangazaji Saidi Ambua na Jimmy Kagaruki wakimsikiliza Nape kwenye mkutano huo 
Mtangazaji wa Uhuru FM Sheila simba akiwa kazini wakati wa ziara ya Nape katika studio za radio hiyo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages