| Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa kwa maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe Uganda tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni.Marais wengine waliowasili Kampala jana ni pamoja na Goodluck Jonathan wa Nigeria na,Robert Mugabe wa Zimbabwe,Viongozi wengine na wawakilishi wa marais walitarajiwa kuwasili baadaye kuhudhuria sherehe hizo.(picha na Freddy Maro) |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269