Breaking News

Your Ad Spot

May 1, 2011

UZINDUZI BIG BROTHER APLIFIED, WADAU WAJIIRABU NDANI YA NYUMBANI LOUNGE

Mtayarishaji Mkuu wa Chachandu Daily Blog, Bashir Nkoromo,  akiandaa chachandu la tukio hilo, ndani ya Nyumbani Lounge huku mdau mmoja akimtazama kwa makini 
Walikuwepo wadau kibao, bila kukosa Gadner Habash na Kamanda wa kipindi cha Amplifier cha Clouds FM, Mi- Ayo. bila shaka unaweza kuwaona katika picha hii. 
Muhidin Sufian wa Sufian Mafoto Blogu akiwa na wadau AY na  Barbra Hassan wa Clouds FM 
Baadhi ya wadau wakishangilia wakati utambulisho wa washiriki wa Big Brother Amplifiered ukionyeshwa live kwenye luninga ndani ya Nyumbani Lounge
Machozi Band wakipasha kabla ya mambo kuanza
Masharoubarou kama kawaida hawakukosa...si unawacheki
Hapa pia ni hao hao wakijirabu
Mkurugenzi wa MO Blog (kulia) ndani ya nyumba
Gerald Hando.... wa  Power Breakfast na jicho la Ng'ombe  naye hakukosa. Hapa anacha-ti jambo na wadau

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages