Breaking News

Your Ad Spot

May 23, 2011

WASHITAKIWA WA FEDHA ZA EPA WALAMBA MIAKA MITANO JELA


Waliokuwa washitakiwa katika  kesi ya wizi wa Sh. bilioni 1.8 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika  Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Farijara Hussein na binamu yake Rajabu Rajabu Maranda wamehukumiwa leo katika Mahakama ya Hakim Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, kifungo cha miaka mitano jela na kurudisha serikalini fedha hizo. Picha kutoka Kamanda wa Matukio Blog

2 comments:

  1. Visit us contemporary to
    come by more knowledge and facts
    at all events Visit us at times to obtain more information and facts in the matter of [url=http://rosliny-akwariowe.compare.com.pl]rośliny akwariowe[/url]

    ReplyDelete
  2. Hey - I am really delighted to discover this. great job!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages