Breaking News

Your Ad Spot

Jun 21, 2011

TBL YAONGEZA ZAWADI WASHINDI WA POOL MWAKA HUU KWA ASILIMIA 40

Kampuni ya Bia Tanzanaia (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager imeongeza dau kwa silimia 40 kuliko kwaka jana, fedha kwa watakazopata washindi mbalimbali katika mashindano ya taifa ya Pool mwaka huu. Pichani, Mkurugenzi wa Masoko wa TBL David Minja (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa mashindano hayo, kwenye ukumbi wa kampuni hiyo, Ilala mjini Dar es salaam, leo. Watatu Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager,  Oscar Shelukindo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages