Breaking News

Your Ad Spot

Jun 21, 2011

NAPE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA UPINZANI CHA SPD CHA UJERUMANI AMBACHO KINAONGOZA JIJI LA HUMBERG

 KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (wapili kushoto), akizungumza na kiongozi kutoka chama cha upinzani cha SPD cha Ujerumani ambacho kinaongoza jiji la Humberg nchini humo, Wolfgang Schmidt, (wapili kulia),  wakati kiongozi huyo na ujumbe wake walipomtembelea  na kuwa na mazungumzo naye, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. Wapili kulia ni  Stefan Herms kutoka chama hicho.  
Schmidt, akitazama Ilani ya uchaguzi ya CCM  
Schmidt, akimpongeza Nape baada ya kuvutiwa na mazungumzo yao 
Nape akiwaonyesha wageni hao, bango lenye picha za Baraza la Mawaziri la Rais Kikwete 
Nape akiwa katika picha ya pamoja na Schmidt, pamoja na ujumbe wa mgeni huyo, mbele ya Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam. 
Schmidt, akiagana na Nape kabla ya kuondoka.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages