Breaking News

Your Ad Spot

Jun 21, 2011

TANZANIA YAPATA HESHIMA YA KUANDAA MKUTANO WA LANGAKAWI (LID) WA 2013

Waziri Mkuu wa Malaysian, Najib Abdul Razak akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete mpira maalum kama ishara ya Tanzania kutunukiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa Kimataifa wa majadiliano wa Langkawi  (LID)  mwaka  2013. hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika leo katika kituo cha Putrajaya,  Malaysia.  (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages