Breaking News

Your Ad Spot

Jun 22, 2011

NAPE AFANYA ZIARA OFISI ZA DAILY NEWS LEO

Kaimu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Mkumbwa Ally akitambulisha baadhi ya viongozi. Kulia ni Mhariri Mkuu wa Habari Leo, Joseph Kulangwa na Meneja Rasiliamaliwatu na Utawala, Sukulu Magesa
Nape akionyeshwa habari zinavyopokewa kwenye mtandao, kwenye mtambo wa TSN, uliopo Tazara. anayemuonyesha ni mtaalamu wa 'graphic' Geofrey Ng'humba na kushoto ni Mkumbwa Ally
Nape akionyeshwa 'plate' inavyotoka kwenye mtambo wa uchapaji wa TSN uliopo TAZARA. anayemuonyesha ni Meneja wa mtambo huo, John Mcharo
Mcharo akimpa Nape maelezo ya mtambo huo unavyochapa
Mapema Nape alizungumza na Uongozi wa TSN. Baadhi ya viongozi hao kutoka kushoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN, Mkumbwa Ally, Meneja Rasilimali Watu na Utawala, na Mhariri wa Habarileo
Mkumbwa Ally akimuonyesha Nape habari zinavyotayaraishwa akatika hatua ya mwisho kwenda mtamboni ambako pia hupokewa kwenye mtandao
Wachapakazi wa TSN wakiwa kazini. Huyu mzee aliyeshika shavu ni Chief Beda Msimbe
Na huyu pia  ni Chifu Erick Anthony mmoja wa wafanyakazi wa TSN walioonyesha kuvutiwa na ziara hiyo.

1 comment:

  1. new fashion designers http://clothingtrends.eu/-hat-and-scarf-men-category129.html magazines for men's fashion 916045

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages