Breaking News

Your Ad Spot

Jun 13, 2011

KATIBU MKUU WA CCM, WILSON MUKAMA AKUTANA NA POLYCARP KADINALI PENGO

Askofu Mkuu wa  Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, akimkaribisha Ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama leo asubuhi. Mukama na Pengo walikuwa na mazungumzo ya faragha kwa zaidi ya dakika 45. 
Mukama akisaini kitabu wa wageni ofisini kwa Polycarp Kardinali Pengo 
Katibu Mkuu wa CCM, Mukama akiwa na mazungumzao na Polycarp Kardinali Pengo  
Katibu Mkuu wa CCM (kulia) akiwatambulisha kwa Pengo, maofisa wa ofisi yake aliofuatana nao. Kushoto ni Edward Mpogo na Thobias Mwilapwa. 
Edward akimsalimia Pengo baada ya kutambulishwa
Mwilapwa akimsalimia pia Pengo baada ya kutambulishwa 
Katibu Mkuu wa CCM wilson Mukama na  Polycarp Kardinali Pengo na maofisa kutoka Makao Makuu ya CCM, wakiwa katika katika picha ya pamoja kabla ya kuagana.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages