Breaking News

Your Ad Spot

Jun 13, 2011

JK AFANYA MAZUNGUMZO NA HILLARY CLINTON

Rais Jakaya  Kikwete akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hilary Clinton baada ya mazungumzo yao, Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.  Clinton ambaye alikuwa nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu baadaye aliondoka nchini kwenda Ethiopia. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages