Breaking News

Your Ad Spot

Jun 13, 2011

DK SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA JUMUIA YA JUWAPO ,FUONI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar   Dk Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Jengo la Jumuiya ya JUWAPO,Fuoni Kibondeni wilaya ya magharibi, jumuiya hiyo inajishuhulisha na ufugaji ngo'mbe wa maziwa na pia kutengeneza mtindi kwa kutumia mashine maaluam za kisasa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages