Breaking News

Your Ad Spot

Jun 20, 2011

MAONYESHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BANDA LA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA) LANG'ARA

Mkaguzi wa ndani wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mathew  Kaombwe akiwapatia maelezo  wanafunzi waliotembelea banda la Mamlaka hiyo, katika Maonyesho hayo  leo.
Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Sylivia Lupembe Gunze, akiperuzi  habari mbalimbali kwenye mtandao wakati akisubiri kuhudumia wateja kwenye banda la Mamlaka hiyo leo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages