Breaking News

Your Ad Spot

Jun 20, 2011

KAGAME CASTLE CUP YAIVA: TBL WAMWAGA SH. MILIONI 300

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Minja (kushoto) akimkabidhi hati ya makubaliano ya udhamini wa TBL wa sh. milioni 300 kwa michuano hiyo, kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Vyama vya Soka katika Nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) Nicolaus Msonye, wakati wa kutangaza udhamini huo leo kwenye Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa CECAFA ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga. Akizungumza kwenye hafla hiyo, Tenga alisema, bajeti nzima ya kukamilisha michuano hiyo ni sh. milioni 500, hivyo kufuatia TBL kutoa sh. milioni 300, badi zinahitajika sh. milioni 200 zaidi. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages