Breaking News

Your Ad Spot

Jun 11, 2011

MICHUANO YA COPA COCACOLA YAANZA DAR

Mshambuliaji wa timu ya vijana ya  Kinondoni (jezi nyekundu) akipambana na beki wa timu ya Dodoma  Joseph Amos, timu hizo zilipomenyana leo kwenye Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam, katika mechi ya fungua dimba la michuano ya Copa Cocacola. Dom walilala kwa bao 1-0.  
Mtangazaji wa ITV na Radio One Maulidi Kitenge akitangaza live michuano hiyo leo. Kushoto ni  Amri Masae wa Capital TV. 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Emmanuel Nchimbi akiwa kweneye uzinduzi wa michuano hiyo. Kushoto ni Mweneyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa  Iddi Kipingu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages