Breaking News

Your Ad Spot

Jun 11, 2011

MOHAMMED DEJI ALIPOKUTANA NA WAZIRI MKUU WA INDIA

Waziri Mkuu wa India Mhe. Dkt. Manmohan Singh (katikati) akisalimiana na Mbunge wa Singida Mjini Mhe. Mohammed Dewji katika hafla fupi ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Balozi wa India nchini katika Hoteli ya Kempinski jijini Dar hivi karibuni.Wa kwanza kushoto ni  Mke wa waziri Mkuu wa India Mama Gursharan Kaur.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages