Breaking News

Your Ad Spot

Jun 10, 2011

MOTEMA PEMBE WATUA DAR, BAADHI YA WACHEZAJI WAFICHA NYUSO

Wachezaji wa timu ya Motema Pembe itakayomenyana na Simba Jumapili wiki hii kwenye Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, wakiwa akwenye Uwaja wa Ndege wa Kimataifa ya Julius Nyerere (JNIA) baada ya kuawasili leo jioni. (Picha na Nkoromo Daily Blog) 
Mmoja wa wachezaji wa Motema Pembe akificha sura mbele ya kamera ya Nkoromo Daily Blog, timu hiyo ilipowasili leo jioni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Haikuweza kufahamika kwa nini aliamua kufanya hivyo pengine kikwao ina maana fulani. 
Nahodha wa timu hiyo, gdadis Bokese (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya timu hiyo kuwasili Uwanja wa Ndege wa JNIA. Wapili kulia ni Kocha Mkuu wa timu hiyo,  Mukeba Robert (Picha zote na Nkoromo Daily Blog)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages