Breaking News

Your Ad Spot

Jun 5, 2011

NAPE AKAGUA UJENZI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MPANDA, AMALIZA ZIARA MKOANI RUKWA

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Nchemba Mwigulu  waisaidia kupanda nyasi kwenye utakaokuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mpanda mkoani Rukwa, jana 
Nape akishiriki kupiga ngoma katika kijiji cha Inyonga, Kata ya Inyonga wilaya mpya ya  Mlele mkoani Rukwa, jana wakati wa mkutano wa  mwisho wa hadhara uliofanyika katika kijiji hicho mwishoni mwa ziara yake mkoani Rukwa 
Nape akimtambulisha Mwigulu kwa viongozi wa mkoa wa Tabora walipopita wakiwa njiani kwenda Dodoma baada ya ziara yake mkoani Rukwa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages