Breaking News

Your Ad Spot

Jun 7, 2011

RAIS KIKWETE ALIVYONG'ARA MBINGA

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu  Benjamin Mkapa wakati wa sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu John Ndimbo, Askofu  wa jimbo katoliki  la Mbinga,mkoani Ruvuma jana.Kulia ni Mama Anna Mkapa. 
Wananchi  wa Mbinga wakimsalimia kwa shauku Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kumalizika ibada ya Kumsimika na kuwekwa wakfu kwa Askofu Mpya wa jimbo Katoliki Mbinga,Mhashamu John Ndimbo zilizofanyika katika  kanisa la Mtakatifu Kilian mjini wa Mbinga, mkoani Ruvuma jana(picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages