Breaking News

Your Ad Spot

Jun 12, 2011

SIMBA YAILAMBA BAO MOJA MOTEMA PEMBE YA CONGO-DRC

Timu ya Simba imeibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Motema Pembe ya Congo-DRC katika mchezo wa Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Taifa jijini  Dar es Salaam jioni hii. Bao hilo la pekee limefungwa katika dakika ya 20 ya kipindi cha kwanza.  Pichani, mshambuliaji wa timu hiyo, Mussa Hassan Mgosi akimbeba Amri Kiemba baada ya Simba kufunga bao hilo. (Picha ya Full Shangwe kupitia Kamanda wa Mtukio Blog) 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages