Breaking News

Your Ad Spot

Jun 18, 2011

VUA KUBWA YATIBUA PAMBANO LA U23 NA WANAIGERIA

    Mechi ya marudiano baina ya timu ya Taifa ya Vijana (U23) na timu ya vijana ya Nigeria, iliyokuwa ichezwe leo nchini Naigeria imeahirishwa kufuatia mfua kubwa. Habari kutoka Nigeria  zinasema sasa mechi hiyo imeingia katika hati hati ya kuhezwa kesho au kushokutwa. (Habari hii ni kwa msaada wa Dina Ismail Blog)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages