Breaking News

Your Ad Spot

Jul 5, 2011

NAPE ALIPOTEMBELEA TANZANIA DAIMA

Katibu wa Nec, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa magazeti ya kampuni ya Free Media Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, alipotembelea ofisi za magazeti hiyo mjini Dar es Salaam. 4/7/2007. Kulia ni Mhaririri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Absalom Kibanda 
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizungumza na Mhariri Mtendaji wa magazeti ya  Kampuni ya Free Media Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, Absalom Kibanda  alipotembelea ofisi za magazeti hiyo mjini Dar es Salaam. 4/7/2007. Kushoto ni Naibu Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo, Asbert Ngurumo 
Nape akiwa katika chumba cha habari cha gazeti la Tanzania Daima, alipotembelea ofisi za gazeti hilo 4/7/2011. Wapili kilia ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Free Media Ltd, Abnsalom Kibanda. 
Nape akimsalimia mpigapicha mwandamizi wa kampuni ya Free Media. Francis Dande wakati wa ziara hiyo. Wapili kulia ni Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo Absalom Kibanda 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akiagana na Mhariri Mtendaji wa Free Media Ltd, Absalom Kibanda baada ya ziara katika ofisi za kampuni hiyo 4/7/2011. Katikati ni Naibu Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo Asbert Ngurumo. 
Mwandishi wa Tanzania Daima Irene Mark akiwa kazini wakati wa ziara hiyo ya Nape

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages