Breaking News

Your Ad Spot

Jul 4, 2011

RAIS KIKWETE AFUNGUA BARABARA YA MWANDIGA-MANYOVU,MKOANI KIGOMA


Rais Jakaya Kikwete akipokewa na mamia ya wananchi wa Mwandiga waliofurika katika sherehe za ufunguzi wa barabara. 
Rais Kikwete akifurahi  na Mbunge wa Kigoma Kaskazini , Zitto Kabwe,  huku akiwa katika vazi la asili ya kabila la Waha wakati wa sherehe za uzinduzi wa barabara Mwandiga-Manyovu yenye urefu wa km 6. Tarehe 4.7.2011
 Rais Kikwete akizindua rasmi barabara ya Mwandiga-Manyovu yenye urefu wa km 60 iliyoko mkoani Kigoma tarehe 4.7.2011.
 Rais Kikwete akikata utepe na kufungua pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwandiga-Manyovu yenye urefu wa km 60 iliyoko mkoani Kigoma tarehe 4.7.2011. (Picha zote na John Lukuwi)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages