Breaking News

Your Ad Spot

Jul 10, 2011

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA TAIFA JIPYA LA SUDANI KUSINI, AFUATANA NA MAMA SALMA KIKWETE NA ZITTO KABWE



Mke wa Rais, Mama Kikwete, akipokea shada la  baada ya kuwasili na baada ya kuwasili mjini Juba na rais jakaya Kikwete katika sherehe za taifa jipya la nchi ya Sudan Kusini jana jioni.
Rais Jakta Kiwkete na Mama Salma Kikwete wakiwa na mweneyeji wao, Rais wa kwanza wa Sudan Kusini, Jenerali Salva Kiir Mayardit walipowasili mjini Juba kwenye sherehe za kuzaliwa kwa taifa la nchi hiyo. 
Rais Kikwete akizungumza na Rais wa taifa jipya la Sudan Kusini Jenerali Salva Kiir Mayardit . Katikati ni Mama Salma Kikwete

Rais Kikwete akimpongeza Rais huyo mpya wa Sudan Kusini. Katikati ni Mama Kikwete
Mbunge za Zitto Kabwe  aliyefuatana na Rais Kikwete kwenye sherehe hiyo, akimpongeza Salva Kiir Mayardit wa taifa hilo jipya la Sudan Kusini  (Picha zote na  Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages