Breaking News

Your Ad Spot

Jul 10, 2011

MTANANGE WA YANGA NA SIMBA

Hekaheka langoni mwa Simba 
Manahodha wa timu hizo, Kaseja (Simba-Kushoto) na Nsajigwa wa Yanga(kulia) wakisalimiana mebele ya waamuzi 
Mashabiki wa Simba wakaiwatania Yanga 
Mashabiki wa Yanga wakimtania Kaseja 
Mashabiki wa Yanga na Simba wakiwa katika basi moja kwenda Uwanjani 
Jukwaa la Simba likiwa limeshiba mashabiki 
Na jukwaa la Yanga likiwa limesheheni mashabiki. hadi tunapandisha picha hizi ni kipindi cha pili matokeo yakiwa 0-0

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages