Breaking News

Your Ad Spot

Jul 10, 2011

YANGA YAIPAKATA SIMBA 1-0, YATWAA KAGAME CASTLE CUP

Hadi mwisho wa mechi ubao ulikuwa na matokeo haya 
Shabiki wa Simba akipewa msaada baada ya kupoteza fahamu mara Simba ilipof ungwa bao
Kipa wa Simba Juma Kaseja akiwa ameduwaa langoni baada ya mechi kwisha timu hake ikiwa imelambwa bao 1-0 na Yanga 
Kocha msaidizi wa Yanga, Freddy Felix 'Minziro' akihimiza mpira uishe baada  ya kubaki dakika chache timu hiyo ikiwa tayari kibindoni na bao moja la ushindi dhidi ya Simba 
Baadya mechi ikawa raha tupu upande wa Yanaga, hapa mashabiki wakicheza mduara na wachezaji wa timu hiyo
Keneth Asamoh akiwaeleza waandishi wa habari alivyopachika bao kimiani 
Yanga wakiwa na kombe baada ya kukabidhiwa. Lakini napenda kukujulisha kwamba komba hilo huli walikabidhiwa kwa kutumia mwanga wa taa za ambulance baada ya umeme kuzimika uwanjani wakati  shughuli za kukabidhi zawadi zilipoanza.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages