Breaking News

Your Ad Spot

Jul 6, 2011

SIMBA ILIVYOTINGA NUSU FAINALI KAGAME CASTLE CUP

Wachezji wa Bunamwaya ya Uganda na Simba wakiingia uwanjani
Mara jamaa mwenye nguo ya rangi ya kijani ambayo ni watani wa jadi wa Simba akakwidwa kisa alipita walipo mashabiki lukuki wa Simba wakati wa mechi hiyo
Mshambuliaji wa Simba Haruna Moshi 'Boban' akimchambua beki wa timu hiyo
Kipa wa Uganda akalala chalii kwa kukosa nguvu baada ya Simba kupata bao la pili na la ushindi

Bango likabaki hivi hadi mwisho wa mechi
Ikawa raha mustarehe kwa mashabiki wa Simba.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages