Breaking News

Your Ad Spot

Jul 7, 2011

SIMBA YATINGA NUSU FAINALI KAGAME CUP


Kikosi cha timu ya Simba
 Timu ya simba imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Kagame Castle Cup baada ya kuishinda El Mereikh ya Sudan kwa mikwaju mitano kwa minne, timu hizo zilipolazimika kuingia katika hatua ya mikwaju kutokana na kumaliza  dakika tisini za mchezo zikiwa sare ya bao 1-1.  Mechi hiyo imepigwa jioni hii kwenye uwanja wa taifa mjini Dar es Salaam.

1 comment:

  1. Hi

    I'm lookingo for people who like strength sports eg. bodybuilding. You can take part in a huge project of testing sport supplements.
    We will be test supplements like this
    [url=http://www.universal-nutrition.pl/universal-storm.html]Universal Storm[/url] If you are interested in this project please send me your CV with photo on e-mail: bodybuildingprojectone@gmail.com
    We will contact only with chosen people

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages