Breaking News

Your Ad Spot

Aug 1, 2011

JK AFUNGUA MAONYESHO YA KILIMO (NANE NANE) DODOMA

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Kilimo na Ushirika Profesa Jumanne Maghembe wakiangalia ndizi iliyolimwa kwa kuzingatia kanuni bora katika shamba la mfano lillopo katika viwanja vya maonyesho ya kilimo eneo la Nzuguni nje kidogo ya mji wa Dodoma muda mfupi baada ya Rais kufungua rasmi maonyesho ya kilimo leo jioni (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages