Breaking News

Your Ad Spot

Aug 5, 2011

LOWASSA NA WABUNGE WA INDIA

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa (katikati kulia) akiwa katika kikao cha pamoja na Wabunge wa Bunge la India wanaoongozwa na Spika wa Bunge lao, Lok Sabha . Tukio hili lilifanyika jana New Delhi India ambako kamati hiyo iko katika ziara ya kikazi. Kabla ya kuhudhuria kikao cha Bunge la India jana Kamati hiyo ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ilitembelea nchi za Malaysia, Singapore. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages