Breaking News

Your Ad Spot

Aug 8, 2011

NAPE AKUTANA NA UJUMBE WA KITUO CHA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA MALAWI

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (wapili kulia) akizungumza, wakati ujumbe wake ulipokutana na ujumbe wa kutoka Kituo cha Demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini Malawi (kushoto) katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam  leo. Ujumbe huo umeongozwa na Mwenyekiti wa kituo hicho, Levison  Ganisa (wanne walioketi). Wenyeji wa ujumbe huo ni Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).Kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu, Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda. 
Nape akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe huo mbele ya jengo la Mahali ilimozaliwa TANU 
Nape akiagana na ujumbe huo baada ya mazungumzo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages