Breaking News

Your Ad Spot

Aug 7, 2011

SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (SHIHATA) BADO LIPO MBEYA?

Hili ni jengo la shirika la habari Tanzania miaka hiyo ya nyuma kwa sasa haeleweki mmiliki wake,  na nani anachukua kodi ya pango la maduka hayo. Kama wewe unajua Mbeye Yetu Blogu wanaomba uwambie 
Si unaona bidhaa madunai katika jengo hilo zilizvosheheni? 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages